Naibu Waziri Kikwete Apokea Taarifa ya Migogoro Ardhi Pwani
Feb 28, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Ridhiwani Kikwete (katikati) akiwa katika kikao cha kupokea taarifa ya migogoro ya ardhi ya Mkoa wa Pwani kilichofanyika leo jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete akitoa maelekezo katika kikao cha kupokea taarifa ya migogoro ya ardhi ya Mkoa wa Pwani kilichofanyika leo jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Ridhiwani Kikwete akisisitiza jambo katika kikao cha kupokea taarifa ya migogoro ya ardhi ya Mkoa wa Pwani kilichofanyika leo jijini Dar es salaam.