Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Naibu Waziri Dkt. Mollel Awasili Ofisini Kwake Mtumba.
May 21, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_52695" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Godwin Oloyce Mollel akitia saini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili ofisini kwake Mtumba Jijini Dodoma leo tarehe 21 Mei, 2020 baada ya kuapishwa kushika nafasi hiyo.[/caption] [caption id="attachment_52694" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Godwin Oloyce Mollel akisalimiana na watumishi wa Wizara hiyo mara baada ya kuwasili ofisini kwake Mtumba Jijini Dodoma leo tarehe 21 Mei, 2020 baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kushika nafasi hiyo. Wa pili kushoto ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu. Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi