Nyamanga (kulia) akiwa katika ziara ya kutembelea Msitu wa Mzakwe- Bonde la Makutupola
jijini Dodoma leo Februrari 25, 2022, kujionea zoezi la upandaji miti linaloratibiwa na Ofisiya
Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS), Ofisi za Bonde na JKT Makutupola. Wengine katikati ni Mkurugenzi wa Mazingira Dkt. Andrew Komba na Meneja Msaidizi Maendeleo ya Misitu kutoka TFS Bi. Patricia Manonga
Manonga aakitoa maelelezo kwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais
anayeshughulikia Mazingira, Bw. Edward Nyamanga (kulia) wakati wa ziara yake ya
kutembelea Msitu wa Mzakwe- Bonde la Makutupola jijini Dodoma leo Februrari 25, 2022,
kujionea zoezi la upandaji miti linaloratibiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS), Ofisi za Bonde na JKT Makutupola