Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya ambaye alikuwa mgeni rasmi (wa tatu toka kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo (wa pili toka kulia) wakikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wagonjwa wakipata huduma ya kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza katika uzinduzi wa huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza katika uzinduzi wa huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Huduma za Hospitali Prof. Said Aboud akizungumza katika uzinduzi wa huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja.
Mkuu wa kitengo cha huduma ya kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Dkt. Paschal Ruggajo (mwenye nguo nyeupe) akifanya mahojiano na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza uzinduzi iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.