Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mpina Atoa Maagizo Kwa Kiwanda Cha Sukari Mtibwa
Oct 01, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_16173" align="alignnone" width="750"] Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina (katikati) akisukuma toroli baada ya kumaliza zoezi la usafi wa mazingira wilayani Mvomero, kushoto ni Mkuu wa Wilaya hiyo Bw. Mohammed Mussa Utali.[/caption] [caption id="attachment_16177" align="alignnone" width="750"] Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akiangalia chanzo cha maji katika milima ya Urugulu, Mjini Morogoro, akiwa katika ziara ya mkikazi Mkoani Morogoro Mpina alielezwa kuwa chanzo hico cha maji kinaharibiwa na shughuli za binadamu.[/caption] [caption id="attachment_16178" align="alignnone" width="750"] Mratibu wa Mazingira kanda ya Mashariki kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Bw. Jafari Chimgege (kulia) akiongea jambo wakati wa Oparesheni ya ukaguzi wa mazingira katika kiwanda cha Sukari Mtibwa.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi