Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Nishati ya Mafuta Uganda
May 13, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa akiwa na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu Kijaji pamoja na Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato wakiwa katika Kikao cha majadiliano ya Wadau mbalimbali katika Sekta ya Uwekezaji wa Mafuta katika Jiji la Kampala nchini Uganda tarehe 11 Mei, 2022.
Wadau kutoka Sekta mbalimbali nchini Tanzania wakiwa katika Kikao cha majadiliano ya Wadau kutoka Sekta ya Uwekezaji wa Mafuta katika Jiji la Kampala nchini Uganda tarehe 11 Mei, 2022.
Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato akizungumza katika Kikao cha majadiliano ya Wadau mbalimbali kwenye Sekta ya Uwekezaji wa Mafuta JijiniKampala nchini Uganda tarehe 11 Mei, 2022.