Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini ya Kikristo  alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini  Zanzibar kwa ajili ya Mkutano wa Viongozi hao uliofanyika leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiteta na baadhi  ya Viongozi wa Dini ya Kikristo  kabla  ya mkutano wa viongozi hao uliofanyika leo   katika Ofisi ya Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini  Zanzibar.
Baadhi ya Masister na viongozi wengine wa madhehebu ya dini ya Kikristo ni miongoni mwa washiriki wa mkutano wa Viongozi hao uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini  Zanzibar mgeni rasmi alikuwa rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Viongozi  wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini  Zanzibar 
f