[caption id="attachment_16427" align="aligncenter" width="750"] Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Abdallah Ngodu akitoa neno la utangulizi kwa wajumbe wa jumuiya hiyo (hawapo pichani) wakati wa jukwaa la mafunzo kwa wajumbe hao katika mkutano wa 33 wa jumuiya hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_16429" align="aligncenter" width="750"] Mwanyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Gulamhafeez Mukadam akizungumza na wajumbe wa jumuiya hiyo (hawapo pichani) wakati akifungua jukwaa la mafunzo kwa wajumbe wa jumuiya hiyo katika mkutano wa 33 wa jumuiya hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_16432" align="aligncenter" width="750"] Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mh. Isaya Mwita akisisitiza jambo kwa wajumbe wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wakati wa jukwa la mafunzo kwa wajumbe hao katika mkutano mkutano wa 33 wa jumuiya hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_16435" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wajumbe wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wakimsikiliza Mwanyekiti wa Jumuiya hiyo Gulamhafeez Mukadam (hayupo pichani) wakati akifungua jukwaa la mafunzo kwa wajumbe hao katika mkutano wa 33 wa jumuiya hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_16438" align="aligncenter" width="750"] Wajumbe wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wakimsikiliza Mwanyekiti wa Jumuiya hiyo Gulamhafeez Mukadam wakati akifungua jukwaa la mafunzo kwa wajumbe hao katika mkutano wa 33 wa jumuiya hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Eliphace Marwa)[/caption]