[caption id="attachment_48901" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Huduma za Tume ya Madini, William Mtinya (kulia) akipokelewa na Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Mtwara, Mhandisi Ephrahim Mushi (kushoto) mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi hiyo iliyopo mjini Mtwara Mkoani Mtwara ikiwa ni sehemu ya ziara yake yenye lengo la kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili ofisi hiyo tarehe 14 Novemba, 2019.[/caption]
[caption id="attachment_48902" align="aligncenter" width="750"]
Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Mtwara, Mhandisi Ephrahim Mushi akielezea mafaniko ya ofisi yake kwa Mkurugenzi wa Huduma za Tume ya Madini, William Mtinya pamoja na watumishi wa Ofisi yake (hawapo pichani)[/caption]
[caption id="attachment_48903" align="aligncenter" width="750"]
Mkurugenzi wa Huduma za Tume ya Madini, William Mtinya (katikati) akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Mtwara[/caption]
[caption id="attachment_48904" align="aligncenter" width="750"]
Mkurugenzi wa Huduma za Tume ya Madini, William Mtinya akifafanua jambo kwenye kikao hicho[/caption]
[caption id="attachment_48905" align="aligncenter" width="750"]
Mkurugenzi wa Huduma za Tume ya Madini, William Mtinya (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Mtwara[/caption]