Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo akizungumza na Wahariri pamoja na Waandishi wa Vyombo vya Habari mbalimbali waliohudhuria mkutano ulioandaliwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, jijini Dar es Salaam, tarehe 22 Februari 2024.Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Mohamed Bashe akizungumza na Wahariri pamoja na Waandishi wa Vyombo mbalimbali waliohudhuria mkutano ulioandaliwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 22 Februari, 2024Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba akizungumza na Wahariri pamoja na Waandishi wa Vyombo mbalimbali waliohudhuria mkutano ulioandaliwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 22 Februari, 2024Balozi Shaibu Said Musa - Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akizungumza na Wahariri pamoja na Waandishi wa Vyombo mbalimbali waliohudhuria mkutano ulioandaliwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 22 Februari, 2024.Balozi Shaibu Said Musa - Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Bw. Gilead Teri wakati mkutano ulioandaliwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 22 Februari, 2024.Baadhi ya Wahariri na Waandishi kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari wakiwa kwenye mkutano ulioandaliwa na Kurugenzi Ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jijini Dar es Salaam, tarehe 22 Februari, 2024.
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa