Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

MKURABITA Yakabidhi Hati 600 za Kimila Wilayani Chamwino Leo
Jul 30, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_33992" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay akikabidhi a Hati za Hakimiliki za Kimila wakati wa hafla ya kukabidhi Hati 600 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Mahamha na Membe wilayani Chamwino mkoani Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Mratibu wa MKURABITA, Bibi. Seraphia Mgembe, Mwenyekiti wa Kijiji cha Mahamha Andrea Lukuna na Mwenyekiti Mstaafu wa MKURABITA, Kapteni mstaafu John Chiligati.[/caption] [caption id="attachment_33993" align="aligncenter" width="750"] Mtendaji Mkuu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Bibi. Seraphia Mgembe akifafanua jambo wakati wa hafla ya kukabidhi Hati 600 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Mahamha na Membe wilayani Chamwino mkoani Dodoma leo.Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Kijiji cha Mahamha Andrea Lukuna na Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay.[/caption] [caption id="attachment_33994" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi aliyemaliza muda wake Kapteni Mstaafu John Chiligati akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Hati 600 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Mahamha na Membe wilayani Chamwino mkoani Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_33995" align="aligncenter" width="750"] Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Mahamha wilayani Chamwino Bi. Ester Gerson akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Hati 600 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Mahamha na Membe wilayani Chamwino mkoani Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_33996" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay akipokea taarifa ya utekelezaji wa mpango wa kurasimisha ardhi kuotoka kwa Afisa Ardhi Mteule wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wakati wa hafla ya kukabidhi Hati 600 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Mahamha na Membe wilayani Chamwino mkoani Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_33997" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya watendaji wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) wakiwasalimia wanchi wa vijiji vya Mahamha na Membe wakati wa hafla ya kukabidhi Hati 600 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Mahamha na Membe wilayani Chamwino mkoani Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_33998" align="aligncenter" width="750"] Mmoja wa wazee akisoma hati yake aliyokabidhiwa wakati wa hafla ya kukabidhi Hati 600 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Mahamha na Membe wilayani Chamwino mkoani Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_33999" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Balozi Daniel Ole Njolay akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wananchi waliokabidhiwa kukabidhi Hati 600 za Hakimiliki ya Kimila kwa wananchi wa vijiji vya Mahamha na Membe wilayani Chamwino mkoani Dodoma leo. (Picha zote na: Frank Shija, MAELEZO, Chamwino, Dodoma).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi