Mhe. Rais Samia Awatembelea na Kuwasalimia Mzee Pinda na Mzee Malecela Dodoma
Jan 16, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Mizengo Pinda alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Zuzu mkoani Dodoma leo tarehe 15 Januari 2022.