Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Menejimenti Sekta ya Uchukuzi Yaridhishwa na Ujenzi Meli Mpya, Chelezo na Ukarabati Wa Mv. Viktoria na Mv. Butiama
Jun 24, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_53513" align="aligncenter" width="750"] Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya sehemu ya chini ya meli mpya ya MV Mwanza “Hapa Kazi Tu” inayojengwa katika bandari ya Mwanza Kusini, jijini Mwanza. Ujenzi wa Meli hiyo unatarajiwa kukamilika mapema mwaka 2021 na itagharamu zaidi ya kiasi cha shilingi 80.[/caption] [caption id="attachment_53514" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Mhandisi Mkuu wa Kampuni ya Huduma ya Meli (MSCL), Luteni Kanali, Mhandisi Abel Gwanafyo akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) na Wataalam wa Sekta hiyo, walipotembelea maendeleo ya ujenzi wa Meli mpya MV Mwanza ‘Hapa Kazi Tu”, Ukarabati wa meli ya MV Butiama, MV Viktoria na Ujenzi wa Chelezo, mkoani Mwanza.[/caption] [caption id="attachment_53515" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Mhandisi Mkuu wa Kampuni ya Huduma ya Meli (MSCL), Luteni Kanali Mhandisi Abel Gwanafyo, akiwaonesha wajumbe wa Menejimenti ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) na Wataalam wa Sekta hiyo, sehemu ya kuhifadhia mizigo katika meli ya MV Viktoria wakati Menejimenti hiyo na wataaalam walipotembelea maendeleo ya ujenzi wa meli mpya MV Mwanza ‘Hapa Kazi Tu”, ukarabati wa meli ya MV Butiama na MV Viktoria na ujenzi wa Chelezo, mkoani Mwanza.[/caption] [caption id="attachment_53516" align="aligncenter" width="750"] Luteni Kanali, Mhandisi Vitus Mapunda, akieleza kwa wajumbe wa Menejimenti ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) na Wataalam wa Sekta hiyo, hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa chelezo wakati Menejimenti hiyo na wataalam walipotembelea maendeleo ya ujenzi wa meli mpya MV Mwanza ‘Hapa Kazi Tu”, ukarabati wa meli ya MV Butiama na MV Viktoria na ujenzi wa Chelezo, mkoani Mwanza[/caption] [caption id="attachment_53517" align="aligncenter" width="750"] Mafundi wa Kampuni ya GAS EntecCo Ltd, Kang Nam Cooperation ya Korea Kusini pamoja na SUMA JKT ya Tanzania inayojenga meli ya MV Mwanza, wakiendelea na kazi ya ujenzi wa meli hiyo, inayojengwa jijini Mwanza.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi