Mazishi ya Mhe. Benjamin William Mkapa katika Kijiji cha Lupaso Masasi Mkoani Mtwara Julai 29, 2020
Jul 30, 2020
Na
Msemaji Mkuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka udongo kwenye kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa katika Mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Lupaso Masasi Mkoani Mtwara.