Mawaziri Wanaosimamia Uchukuzi wa Tanzania, DRC na Burundi Wasaini Ripoti ya Wataalam ya Mradi wa SGR Mjini Kinshasa
Jun 13, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (kulia) akiwa na Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano wa DRC Congo, Cherubi Senga (katikati) na Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano wa Burundi, Marie Nijimbe (kushoto) wakionyesha taarifa ya watalam ya Mradi wa Reli ya Kisasa yaSGR ya Uvinza-Musongati-Gitega-Bujumburaa-Uvinza-Kindu wenye Jumla ya Kilomita 939, uliofanyika mjini Kinshasa mara baada ya Mawaziri hao kuisaini mjini Kinshasa.
Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, Dkt. Ally Possi (kushoto) akiwa na Makatibu wa Wizara zinazosimamia Uchukuzi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Burundi wakisaini ripoti ya Wataalam ya Mradi wa Reli yaKisasa ya SGR ya Uvinza-Musongati-Gitega-Bujumburaa-Uvinza-Kindu wenye jumla ya Kilomita939, mjini Kinshasa.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano waDRC Congo, Cherubi Senga na Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano wa Burundi, Marie Nijimbe wakionyesha katika picha ya pamoja na watendaji mara baada ya kusaini ripoti ya watalam ya Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR ya Uvinza-Musongati-Gitega-Bujumburaa-Uvinza-Kindu wenye Jumla yaKilomita 939, mjini Kinshasa.