Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Ziara ya Rais wa Misri Nchini
Aug 15, 2017
Na Msemaji Mkuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelezo kabla ya kumzawadia Kinyago kikubwa cha Kimakonde mgeni wake Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al-Sis.i

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia mgeni Rais wa Misri, Mhe. Abdel Fattah Al-Sisi picha iliyocho kuonesha Mlima Kilimanjaro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni Rais wa Misri, Mhe. Abdel Fattah Al-Sisi wakifurahia jambo mara baada ya kuongea na vyombo vya Habari Ikulu jijini Dar es Salaam jana.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi