Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio ya Picha katika Ziara ya Siku 1 ya Rais Museveni katika Picha
Sep 13, 2020
Na Msemaji Mkuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
baada ya kutia saini Waraka wa Pamoja unaoagiza kuanza haraka mradi wa
Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania)
kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita
leo Jumapili Septemba 13, 2020
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akiongea
baada ya kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa
Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania)
kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita
leo Jumapili Septemba 13, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli
na Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakitia saini
Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la
Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi
iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita leo Jumapili
Septemba 13, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli (kulia)
akimshukuru kwa hotuba nzuri  Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri
Kaguta Museveni (kushoto) mara baada ya kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza
kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda)
hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege
wa Chato mkoani Geita leo Jumapili Septemba 13, 2020

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi