Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula, bungeni jijini Dodoma. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Innocent Bashungwa, bungeni jijini Dodoma. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki, bungeni jijini Dodoma. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi, bungeni jijini Dodoma. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, bungeni jijini Dodoma.
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa