Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Kutoka Jeshi la Polisi
Aug 17, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_9274" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na Balozi wa Korea Kusini Song, Geum Young wakati wa siku maalum ya kuadhimisha urafiki kati ya Tanzania na nchi ya Korea kusini ambapo Balozi huyo amekubali kusaidia kufunga kamera maalum za kufuatilia wahalifu - CCTV katika jiji la Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_9275" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Korea Kusini Song, Geum Young (wa tatu kutoka kushoto) pamoja na maofisa wengine wakati wa siku maalum ya kuadhimisha urafiki kati ya Tanzania na nchi ya Korea kusini ambapo Balozi huyo amekubali kusaidia kufunga kamera maalum za kufuatilia wahalifu-CCTV katika jiji la Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_9276" align="aligncenter" width="750"] Kamishna wa Polisi, Oparesheni na Mafunzo Nsato Marijani akizungumza na Askari Polisi wanaokwenda kwenye Operesheni ya ulinzi wa amani Darfur Sudan wakati wa zoezi la kuwakabidhi bendera ya taifa ambapo jumla ya Askari 24 wanatarajia kuondoka hivi karibuni.[/caption] [caption id="attachment_9277" align="aligncenter" width="750"] Kamishna wa Polisi, Oparesheni na Mafunzo Nsato Marijani akiwakabidhi bendera ya taifa Askari Polisi wanaokwenda kwenye Operesheni ya ulinzi wa amani Darfur Sudan ambapo jumla ya Askari 24 wanatarajia kuondoka hivi karibuni.(Picha na Jeshi la Polisi)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi