Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio ya Mkutano wa AU katika Picha
Feb 11, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_40338" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais FIFA Gianni Infantino, katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 11, 2019[/caption] [caption id="attachment_40339" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Rais FIFA Gianni Infantino, katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 11, 2019[/caption] [caption id="attachment_40340" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia picha za Viongozi Waasisi wa Ukombozi wa Afrika, ndani ya ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 11, 2019[/caption] [caption id="attachment_40342" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda Richard Sezibera, katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 11, 2019[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi