Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio ya Bungeni Leo Mei 17, 2018
May 16, 2018
Na Msemaji Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Madaba, Mheshimiwa Joseph Mhagama kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 16, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi ,Vijana Ajira,  na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina, Bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akizungumza na wanawake kutoka Mbeya  waliotembelea Bunge kwa mwaliko wa Naibu Waziri wa Kilimo Mary Mwanjelwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 16, 2018. Watatu kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,  Dkt. Harrison Mwakyembe. Kulia ni Mbunge wa Lupa,  Bvictor Mwambalaswa na watano kulia ni Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi