Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio ya Bunge katika Picha
Sep 07, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_34955" align="aligncenter" width="836"] Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akiwasilisha muswaada wa marekebisho ya sheria mbalimbali 13 (Na 2) wa mwaka 2018 (The Written Laws Miscellaneous Amendments) (No.2), Bill,2018 leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_34956" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akisisitiza kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuondoa changamoto zilizopo katika sekta ya sukari hapa nchini ili kuwalinda wananchi na kuhakikisha kuwa biashara ya sukari inafanyika kwa kuzingatia sheria na kanuni.[/caption] [caption id="attachment_34957" align="aligncenter" width="900"] Naibu Waziri wa Madini Mhe. Stanslaus Nyongo akisisitiza kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuhakikisha kuwa Kampuni za Madini zinatekeleza dhana ya kutoa huduma za jamii katika maeneo wanayochimba madini ikiwa ni matakwa ya kisheria.[/caption] [caption id="attachment_34959" align="aligncenter" width="896"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdallah Ulega na Waziri wa Ulinzi Dkt. Hussein Mwinyi wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_34958" align="aligncenter" width="900"] Naibu Waziri, Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akisisitiza kuwa Serikali imejenga uwezo katika kuinua sekta ya afya nchini ikiwemo kuongeza bajeti ya dawa na upatikanaji wake katika maeneo ya kutolea huduma yamefikia zaidi ya asilimia 90.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi