Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Ziara ya Waziri Kairuki Kiwanda cha Kuchakata Betri Chakavu
Jan 27, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_50470" align="aligncenter" width="800"] Meneja wa kiwanda cha kuchakata betri chakavu za magari na pikipiki cha HUATAN Bw. Anthony Warioba akitoa maelezo ya malighafi zinazochakatwa kwa ajili ya kutengeneza betri kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki alipotembelea kiwandani hapo Januari 23, 2020 katika Wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani.[/caption] [caption id="attachment_50471" align="aligncenter" width="800"] Meneja wa kiwanda cha kuchakata betri chakavu za magari na pikipiki cha HUATAN Bw. Anthony Warioba akimuonesha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki mazingira ya kiwanda hicho alipotembelea kiwandani hapo Wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani Jnuari 23, 2020.[/caption] [caption id="attachment_50472" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki pamoja na timu aliyoambatana nayo katika ziara ya kukagua kaiwanda cha kuchakata betri chakavu za magari na pikipiki cha HUATAN kilichopo Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani.[/caption] [caption id="attachment_50475" align="aligncenter" width="800"] Meneja wa kiwanda cha HUATAN Bw. Anthony Warioba akisoma taarifa ya kiwanda hicho kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi