Matukio katika Picha: Ziara ya Rais wa Zamani wa Malawi Mhe. Lazarus Chakwera Nchini Tanzania
Apr 10, 2026
Msajili wa Vyama vya Siasa, Mhe. Jaji Mstasfu Francis Mutungi amekuta na kufanya mazungumzo na Mhe. Lazarus Chakwera, Rais wa Zamani wa Malawi na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola. Kikao hicho ni sehemu ya ziara ya Mhe. Chakwera nchini ambapo anakutana na makundi mbalimbali ya wanasiasa, taasisi na viongozi wa Serikali.
Na
Administrator