Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu, Mhe.Kassim Majaliwa, amefunga Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020 JNICC, DSM
Feb 23, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_51115" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akihutubia katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020 alipowasili kufunga Mkutano huo wa Siku mbili uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere(JNICC) Jijini Dar es Salaam leo Februari 23, 2020, ambapo Tanzania imezindua Cheti cha uhalisi cha madini ya bati.[/caption] [caption id="attachment_51116" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akionesha zawadi ya fremu ya nembo ya Taifa iliyotengenezwa kwa madini alipotembelea mabanda katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020, uliofanyika JNICC Jijini Dar es Salaam, kulia ni Waziri wa Madini, Mhe. Doto Biteko na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Simon Msanjira.[/caption] [caption id="attachment_51117" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akiangalia madini ya Tanzanite katika moja ya banda la mjasiriamali wa madini alipotembelea mabanda hayo katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020, uliofanyika JNICC Jijini Dar es Salaam, kulia ni Waziri wa Madini, Mhe. Doto Biteko na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Simon Msanjira.[/caption] [caption id="attachment_51118" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akipata maelezo katika moja ya banda la mjasiriamali wa madini alipotembelea mabanda hayo katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020, uliofanyika JNICC Jijini Dar es Salaam, kulia ni spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai na kushoto ni Waziri wa Madini, Mhe. Doto Biteko.[/caption] [caption id="attachment_51119" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Madini, Mhe. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Februari, 23, 2020.[/caption] [caption id="attachment_51120" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Madini kutoka Uganda, Mhe. Sara Opendi, akizungumza katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Februari, 23, 2020.[/caption] [caption id="attachment_51121" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akikata utupe kuzindua Cheti cha uhalisia wa madini ya Bati katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania uliofanyika JNICC na kuhudhuriwa na Nchi za Maziwa makuu 11 zinazozalisha madini ambazo zilikutana kujadili mikakati ya kulinda rasilimali hiyo, kulia ni spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai na kushoto ni Waziri wa Madini, Mhe. Doto Biteko.[/caption] [caption id="attachment_51123" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akikabidhi cheti kwa wawakilishi kutoka Nchi 11 za maziwa makuu zinazozalisha madini, mara baada ya kuzindua cheti hicho katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji Sekta ya Madini uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaaam leo Februari 23, 2020.[/caption] [caption id="attachment_51124" align="aligncenter" width="750"] Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi Kenya, Prof. Patrick Lumumba akiwasilisha mada katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020, Prof.Lumumba aligusia jinsi Afrika inaweza kunufaika na rasilimali ya hiyo, ambapo Tanzania imezindua rasmi cheti cha uhalisia wa madini ya bati.[/caption] [caption id="attachment_51125" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Prof.Adolf Mkenda akiwasilisha mada katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Prof. Mkenda aligusia jitihada za Serikali katika kulinda rasilimali hiyo.[/caption] [caption id="attachment_51126" align="aligncenter" width="750"] Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi Kenya, Prof. Patrick Lumumba akijibu swali kutoka kwa washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020, lililotokana na mada yake, Prof.Lumumba alizungumzia kuhusu jinsi Afrika inaweza kunufaika na rasilimali ya hiyo, ambapo Tanzania imezindua rasmi cheti cha uhalisia wa madini ya bati, kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Prof. Kitila Mkumbo.[/caption] [caption id="attachment_51127" align="aligncenter" width="750"] Washiri wa Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini wakifuatilia hotuba ya Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa alipowakuwa akihutubia kufunga mkutano huo JNICC Jijini Dar es Salaam, Februari 23, 2020.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi