Matukio katika Picha: Waziri Mkuu Majaliwa Akiwa Bungeni
May 16, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2022.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi, bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2022.