Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Waziri Mkuu Bungeni Leo
Jun 19, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_44575" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Amina Makilagi, Bungeni jijini Dodoma Juni 19, 2019.[/caption] [caption id="attachment_44576" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Chato na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, Bungeni jijini Dodoma Juni 19, 2019.[/caption] [caption id="attachment_44577" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Rukia Kassim Ahmed, Bungeni jijini Dodoma, Juni 19, 2019.[/caption] [caption id="attachment_44578" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Namtumbo Mhandisi Edwin Ngonyani kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 19, 2019.[/caption] [caption id="attachment_44580" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa zamani wa Namtumbo, Vita Kawawa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni19, 2019. Katikati ni Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba.[/caption] [caption id="attachment_44581" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kulia) akijadili jambo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto) na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Dkt. Faustine Ndugulile (katikati), Bungeni jijini Dodoma Juni 19, 2019.[/caption] [caption id="attachment_44583" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Msanii Pierre Liquid kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 19, 2019. Wa pili kulia ni Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Mhandisi Ramo Makani.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi