Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma taarifa kuhusu kuidhinishwa kwa Sera ya Elimu na Mafunzo 2014, Toleo la2023 na Mitaala ya Elimu Ngazi ya Elimu ya Awali, Msingi, Sekondai na Elimu ya Ualimu wakati wa kipindi cha maswalı ya papo kwa papo, bungeni jijini Dodoma, Novemba 2, 2023.
Na
Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Urambo, Margaret Sitta, bungeni jijini Dodoma, Novemba 2, 2023.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi na Uenezi, Paul Makonda, ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma, Novemba 2, 2023.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi na Uenezi, Paul Makonda kabla ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma, Novemba 2, 2023.