[caption id="attachment_52832" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 28, 2020. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby na Mbunge wa Busega, Raphael Chegeni.[/caption] [caption id="attachment_52834" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Madini, Ladislaus Nyongo, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 28, 2020.[/caption] [caption id="attachment_52835" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 28, 2020. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Buhigwe, Albert Obama, Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Olenasha, Mbunge wa Viti Maalum, Ester Mahawe, Mbunge Bukoba Vijijini, Jasson Rweikiza, Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]