Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha, Waziri Mhagama Alipotembelea Idara na Vitengo Vilivyopo Ofisi ya Waziri Mkuu
Aug 02, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_34039" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akisisitiza jambo kwa afisa  wa hifadhi ya jamii wa Ofisi hiyo Bw. Saimon Mwanjala wakati alipotembelea Idara na Vitengo vilivyopo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuona utendaji wao leo jijini Dodoma.kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu  Bw. Peter Kalonga.[/caption]   [caption id="attachment_34040" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Bw.     leo Jijini Dodoma wakati wa ziara yake ya kutembelea Idara na Vitengo vya Ofisi hiyo kujipnea jinsi wanavyotekeleza majukumu yao.[/caption]   [caption id="attachment_34041" align="aligncenter" width="750"] Mmoja wa watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu akitoa maelezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama leo mjini Dodoma wakati alipotembelea Vitengo na Idara zilizopo chini ya Ofisi hiyo.[/caption]   [caption id="attachment_34042" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu wakimsikiliza . Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati  wa ziara yake ya kutembelea Idara na Vitengo vya Ofisi hiyo kujipnea jinsi wanavyotekeleza majukumu yao.[/caption]   [caption id="attachment_34043" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu  Bw. Peter Kalonga akisisitiza jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama wakati wa ziara yake ya kutembelea Idara na Vitengo vilivyopo chini ya Ofisi hiyo.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi