Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio katika Picha: Uzinduzi wa Mbio za ‘Waandishi wa Habari Fun Run’ ikiwa ni Ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ya Dunia 2024
May 01, 2024
Matukio katika Picha: Uzinduzi wa Mbio za ‘Waandishi wa Habari Fun Run’  ikiwa ni Ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ya Dunia 2024
Wadau wa tasnia ya habari nchini wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri leo Mei 1, 2024, wameshiriki kukimbia katika mbio za ‘Waandishi wa Habari Fun Run’ mwendo wa kilometa 10 kwa lengo la kuimarisha afya. Mbio hizo ni ufunguzi wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ya Dunia kwa mwaka 2024 yanayofanyika Mei 1-3 Jijini Dodoma katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete ambapo Kauli Mbiu ya ni “Uandishi wa Habari na Changamoto za Mabadiliko ya Tabianchi”.
Na Mwandishi Wetu

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi