Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Ujenzi wa Mji wa Serikali leo Januari 1, 2019
Jan 01, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_39359" align="aligncenter" width="1000"] atibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma Bw.Meshach Bandawe akionesha hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa jengo la Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora linalojengwa ndani ya mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma leo wakati wa ziara yakukagua maendeleo ya ujenzi wa mji wa Serikali.

[/caption] [caption id="attachment_39360" align="aligncenter" width="1000"] Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma Bw. Meshach Bandawe akionesha kazi ya usimikaji wa miundombinu ya umeme inayofanywa na Shirika la Umeme nchini (TANESCO) katika mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma.
[/caption] [caption id="attachment_39363" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Nyumba (NHC) Dkt. Maulid Banyani akisisitiza jambo kwa Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma Bw. Meshach Bandawe wakati wa ziara ya kukagua hatua iliyofikiwa katika majengo ya Wizara yanayojengwa na Shirika hilo katika mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma ikiwemo la Wizara ya Fedha na Mipango.[/caption] [caption id="attachment_39364" align="aligncenter" width="900"] Muonekano wa jengo la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora linalojengwa ndani ya mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma kama linavyoonekana ambapo ujenzi wake unatarajia kukamilika katika muda uliopangwa.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi