Matukio katika Picha: Uapisho wa Viongozi wa Wizara Mpya ya Vijana na Balozi
Nov 21, 2025
Kutoka kulia, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Bi. Jenifa Christian Omolo, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Dkt. Kedmon Elisha Mapana na Balozi Lazaro Samuel Nyalandu kwa pamoja wakiapa Kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 21 Novemba, 2025.
Na
Ofisi ya Rais - Ikulu