Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Rais Magufuli Akiweka Jiwe la Msingi Skuli ya Mwanakwerekwe Zanzibar
Jan 11, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_50079" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suliuhu Hassan na viongozi wengine
wakipata maelezo juu ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe
mjini Zanzibar kabla ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni
mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.

[/caption] [caption id="attachment_50080" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suliuhu Hassan na Waziri
wa Elimu, Sayansi na Teknolkojia wa Jamhuri ya Muungano Profesa Joyce
Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki
Pembe Juma akikagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe
mjini Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni
mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.[/caption] [caption id="attachment_50081" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma
akikagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar
baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni mojawapo ya
shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.[/caption] [caption id="attachment_50082" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma
akikagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar
baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni mojawapo ya
shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.[/caption] [caption id="attachment_50083" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Elimu,
Sayansi na Teknolkojia wa Jamhuri ya Muungano Profesa Joyce Ndalichako
na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma
na Mwakilishi wa Benki ya Dunia akifunu pazia kuashiria kuweka jiwe la
msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar
baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni mojawapo ya
shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.[/caption] [caption id="attachment_50084" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolosjia wa Jamhuri ya
Muungano Profesa Joyce Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma wakati wa hafla ya uwekaji wa
jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini
Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni
mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.[/caption] [caption id="attachment_50085" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolosjia wa Jamhuri ya
Muungano Profesa Joyce Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma wakati wa hafla ya uwekaji wa
jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini
Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni
mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.[/caption]

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolkojia wa Jamhuri ya Muungano Profesa Joyce Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma wakipata picha na wanafunzi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.

PICHA NA IKULU

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi