Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Ndani ya Sabasaba
Jun 30, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_4890" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waadishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam kuhusu ufunguzi wa maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba).yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu J.K Nyerere,barabara ya Kilwa.[/caption] [caption id="attachment_4882" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akikagua moja ya mabanda katika maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba).[/caption] [caption id="attachment_4886" align="aligncenter" width="630"] Naibu Balozi waUjerumani nchini Mhe. John Reyels akiongea na waandishi wa habarikuhusu dhamira ya nchi yake kuwekeza katika Viwanda hapa nchini ili kuunga mkono juhudi za Serikali kujenga uchumi wa Viwanda. Kushoto ni Mkurugenzi mkazi wa ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Ujerumani waliowekeza Kanda ya AfrikaMashariki, kulia ni Mkuu wa Masoko na Mawasilia no wa Kampuni ya GMBH ya Ujerumani.[/caption] [caption id="attachment_4887" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mkazi wa ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Ujerumani waliowekeza Kanda ya Afrika Mashariki Bi MarenDiale –Schellschmidt akizungumzia ufunguzi wa Ofisi zaTaasisi hiyo hapa nchini ili kuchochea uwekezaji kutoka Ujerumani. (Picha zote na: Frank Mvungi-MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi