Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Jan 10, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_50066" align="aligncenter" width="1000"] Msajili wa Vyama vya Siasa.Mhe. Jaji Mstaafu Francis Mtungi akichangia hoja wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Msaji wa Vyama vya Siasa (ORPP) kilichofanyika katika ukumbi wa Veta jijini Dodoma leo tarehe 10/01/2020. Kulia  ni Maafisa Utumishi wa ORPP, Bibi Eneja Mwakanyamale na Happiness Muyombo.[/caption] [caption id="attachment_50067" align="aligncenter" width="972"] Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ambaye pia ni Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Mhe. Mohamed Ali Ahmed akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Msaji wa Vyama vya Siasa kilichofanyika katika ukumbi wa Veta jijini Dodoma leo tarehe 10/01/2020. Kutoka kulia ni Katibu wa Baraza hilo Bibi. Prudensia Kwabila na kushoto ni Mwenyekiti wa THUGHE Tawi la ORPP, Bw.Salim Mokiwa[/caption] [caption id="attachment_50068" align="aligncenter" width="768"] Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Bw. Magohu Zonzo akijibu hoja wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Msaji wa Vyama vya Siasa kilichofanyika katika ukumbi wa Veta jijini Dodoma leo tarehe 10/01/2020.[/caption] [caption id="attachment_50069" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Bw. Magohu Zonzo akijibu hoja wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Msaji wa Vyama vya Siasa kilichofanyika katika ukumbi wa Veta jijini Dodoma leo tarehe 10/01/2020.[/caption] [caption id="attachment_50070" align="aligncenter" width="1000"] Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Bibi. Edina Assey akichangia mada wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Msaji wa Vyama vya Siasa(ORPP) kilichofanyika katika ukumbi wa Veta jijini Dodoma leo tarehe 10/01/2020.[/caption] [caption id="attachment_50071" align="aligncenter" width="1000"] Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Bw. Abuu Kimario akichangia mada wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Msaji wa Vyama vya Siasa(ORPP) kilichofanyika katika ukumbi wa Veta jijini Dodoma leo tarehe 10/01/2020.[/caption] [caption id="attachment_50072" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) wakifuatilia Kikao cha Baraza hilo kilichofanyika katika ukumbi wa Veta jijini Dodoma leo tarehe 10/01/2020.[/caption] [caption id="attachment_50065" align="aligncenter" width="1000"] Msajili wa Vyama vya Sisa, Mhe. Jaji Mstaafu Francis Mutungi (watatu kutoka kushoto) na Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ambaye pia ni Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Mhe. Mohamed Ali Ahmed (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) mara baada ya kumaliza kikao hicho leo tarehe 10/01/2020 jijini Dodoma.(Picha na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa – ORPP).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi