Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio katika Picha: Mhe. Lazarus Chakwera, Rais wa Zamani wa Malawi na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Mhe. Shirley Ayorkor Botchwey amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo
Apr 09, 2026

Mhe. Lazarus Chakwera, Rais wa Zamani wa Malawi na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Mhe. Shirley Ayorkor Botchwey amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo jijini Dar Es Salaam Aprili 09, 2026. Mkutano huo ulilenga kumkaribisha nchini na pia ni ishara ya kuanza ratiba yake ya kukutana na wadau mbalimbali ikiwamo kukutana na ujumbe wa Serikali Aprili 09, 2026 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere.
Na Administrator

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi