Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Makamu wa Rais Mkutano wa Arinsa
Jun 12, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_44163" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Bendera za Nchi wanachama wa ARINSA (Asset Recovery Inter-Agency for Southern Africa), ( 1-Eswatini, 2-Uganda, 3-Tanzania, 4-Lethoto) zikipitishwa kwa washiriki wa Mkutano wa Umoja wa Urejeshaji wa Mali zinazohusu uhalifu ARINSA, uliofanyika Jijini Dar es Salaam leo , Chama hicho pia kilikuwa kinaadhimisho Miaka 10 tangu kuanzishwa kwake 2009.[/caption] [caption id="attachment_44164" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili kufungua Mkutano wa Umoja wa Urejeshaji wa Mali zinazohusu uhalifu uliofanyika Jijini Dar es Salaam leo , ARINSA pia walifanya maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanzishwa kwake 2009.[/caption] [caption id="attachment_44165" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika Mkutano wa Umoja wa Urejeshaji wa Mali zinazohusu uhalifu, ARINSA uliofanyika Jijini Dar es Salaam leo , ARINSA pia walifanya maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanzishwa kwake 2009, Kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt.Augustine Mahiga.[/caption] [caption id="attachment_44166" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan(katikati) akiwa katika Mkutano wa Umoja wa Urejeshaji wa Mali zinazohusu uhalifu uliofanyika Jijini Dar es Salaam leo , ARINSA pia walifanya maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanzishwa kwake 2009,kutoka kulia ni Mkuu wa Mpango wa Kuzuia Utakatishaji Fedha, Michiel Van Dyk, Mkurugenzi Mkuu wa Mashitaka (DPP) Tanzania, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt.Augustine Mahiga, Kushoto ni Jaji Dkt.Eliezer Mbuki Feleshi, na Mshauri wa UNOC, Fitz Ray Drayton.[/caption] [caption id="attachment_44168" align="aligncenter" width="750"] Washiriki wa Mkutano wa Umoja wa Urejeshaji wa Mali zinazohusu uhalifu ARINSA, uliofanyika wakifuatilia Mkutano huo leo Jijini Dar es Salaam.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi