Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio katika Picha: Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ya Dunia Yaanza Rasmi
May 02, 2024
Matukio katika Picha: Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ya Dunia Yaanza Rasmi
Kutoka kituo cha mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma ambapo leo Mei 2, 2024, maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ya Dunia imeanza rasmi na kilele chake kitakuwa Mei 3, 2024; Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi. Wadau wa sekta ya habari wamepata wasaa wa kuchangia maoni yao kwenye mijadala mbalimbali kuhusu sekta hiyo,
Na Mwandishi Wetu

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi