Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akiteta jambo na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) anayesimamia Kanda ya Afrika, Bw. Abebe Selassie, Jijini Washington DC, Marekani.
Ujumbe wa Tanzania katika mikutano ya majira ya kipupwe ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa-IMF, ukiongozwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (kulia), ukiwa nje ya jingo la Makao Makuu ya IMF, Jijini Washington DC, Marekani. Wanaofuatia ni Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba, Kamishna wa Fedha za Nje, Wizara ya Fedha, Bi. Sauda Msemo, Mshauri mwandamizi wa Mkurugenzi Mdendaji wa Benki ya Dunia kanda ya Afrika, Dkt. Zarau Kibwe na Katibu Mkuu Fedha na Mipango Zanzibar Dkt. Juma Malik Akil.
Ujumbe wa Tanzania katika mikutano ya majira ya kipupwe ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa-IMF, ukiongozwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (wanne kushoto), akiwa nje ya jengo la Makao Makuu ya IMF, Jijini Washington DC, Marekani.