Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha: Kongamano la Mashauriano kati ya Serikali, Wawekezaji na Wafanyabishara wa Mkoa wa Dar es Salaam
Dec 06, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_49635" align="aligncenter" width="750"] Kutoka kulia Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara. Mhe.Stella Manyanya, Naibu Waziri Wizara ya Madini, Mhe. Stanslaus Nyongo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Uwekezaji) Mhe.Angellah Kairuki, Mkuu Wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva, Niabu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana, Mhe. Antony Mavunde, Niabu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Costantine Kanyasu, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Mussa Sima na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara, Edwin Rutageruka, wakiwasili katika Kongmano la Mashauriano kati ya Serikali na Wawekezaji na Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam kusikiliza kero zao, Lilifanyika katika Ukumbi wa Mkutano sabasaba Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_49636" align="aligncenter" width="750"] Kutoka kulia Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara (wa pili). Mhe.Stella Manyanya, Naibu Waziri Wizara ya Madini, Mhe. Stanslaus Nyongo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Uwekezaji) Mhe.Angellah Kairuki, Mkuu Wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva, Niabu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana, Mhe. Antony Mavunde, Niabu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Costantine Kanyasu, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Mussa Sima na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara, Edwin Rutageruka, wakiwasili katika Kongmano la Mashauriano kati ya Serikali na Wawekezaji na Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam kusikiliza kero zao, Lilifanyika katika Ukumbi wa Mkutano sabasaba Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_49637" align="aligncenter" width="750"] Kutoka Kulia, Niabu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Costantine Kanyasu, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Mussa Sima, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Stella Manyanya, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Uwekezaji) Mhe.Angellah Kairuki, Mkuu Wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva, Naibu Waziri Wizara ya Madini, Mhe. Stanslaus Nyongo, na Niabu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana, Mhe. Antony Mavunde, wakiimba wimbo wa Taifa mara Baada ya Kuwasili katika katika Kongmano la Mashauriano kati ya Serikali, Wawekezaji na Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam kusikiliza kero zao, Lilifanyika katika Ukumbi wa Mkutano sabasaba Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_49638" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara. Mhe.Stella Manyanya wa (kwanza kulia), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Uwekezaji) Mhe.Angellah Kairuki na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva wakiwa kwenye Kongmano la Mashauriano kati ya Serikali, Wawekezaji na Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam kusikiliza kero zao, Lilifanyika katika Ukumbi wa Mkutano sabasaba Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_49639" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri Wizara ya Madini, Mhe. Stanslaus Nyongo na Niabu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana, Mhe. Antony Mavunde, wakiimba wimbo wa Taifa mara Baada ya Kuwasili katika katika Kongmano la Mashauriano kati ya Serikali, Wawekezaji na Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam kusikiliza kero zao, Lilifanyika katika Ukumbi wa Mkutano sabasaba Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_49640" align="aligncenter" width="750"] Wawekezaji na Wafanyabiashara kutoka Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa katika Kongmano la Mashauriano kati ya Serikali, Wawekezaji na Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam kusikiliza kero zao, Lilifanyika katika Ukumbi wa Mkutano sabasaba Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_49642" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Mhe. Angellah Kairuki akizungumza na Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani),mara baada ya kumaliza
Kongmano la Mashauriano kati ya Serikali, Wawekezaji na Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam kusikiliza kero zao, Lilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano sabasaba Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_49643" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi, akifafanua moja ya hoja iliyoibuliwa na Wawekezaji ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam, katika kongamano la Mashauriano kati ya Serikali, Wawekezaji na Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam kusikiliza kero zao, Lilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano sabasaba Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_49644" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Stella Manyanya, akifafanua moja ya iliyoibuliwa na Wawekezaji ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam, katika kongamano la Mashauriano kati ya Serikali, Wawekezaji na Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam kusikiliza kero zao, Lilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano sabasaba Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_49645" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe.Mussa Sima akifafanua moja ya hoja iliyoibuliwa na Wawekezaji ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam, katika kongamano la Mashauriano kati ya Serikali, Wawekezaji na Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam kusikiliza kero zao, Lilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano sabasaba Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_49646" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara(Tantrade), Edwin Rutageruka akifafanua moja ya hoja iliyoibuliwa na Wawekezaji ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam, katika kongamano la Mashauriano kati ya Serikali, Wawekezaji na Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam kusikiliza kero zao, Lilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano sabasaba Jijini Dar es Salaam.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi