Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio katika Picha: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Yafurahishwa na Utendaji kazi wa Ofisi ya Msajili wa Hazina
Feb 14, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_50935" align="aligncenter" width="750"] Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akiongoza timu ya Menejimenti ya Ofisi ya Msajili wa Hazina kuwapokea Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti katika Ofisi za Msajili wa Hazina, walipotembelea kuona utendaji kazi wa Ofisi hiyo Mirambo jijini Dar es Salaam, leo Februari 13, 2020.[/caption] [caption id="attachment_50936" align="aligncenter" width="750"] Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti walipotembelea kuona utendaji kazi wa Ofisi hiyo Mirambo jijini Dar es Salaam, leo Februari 13, 2020.[/caption] [caption id="attachment_50937" align="aligncenter" width="750"] Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akitoa ufafanuzi wa baadhi ya hoja za Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakati wa Ziara ya Kibunge ya kutembelea na kupata taarifa ya utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya Ofisi ya Msajili wa Hazina, leo Februari 13,2020 Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_50938" align="aligncenter" width="750"] Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti na Mbunge wa Jimbo la Bariadi Mjini, Andrew Chenge akichangia hoja katika kikao cha pamoja kati ya Menejimenti ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bajeti kilichofanyika leo Februari 13, 2020 jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_50939" align="aligncenter" width="750"] Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti na Mbunge wa Jimbo la Muheza , Adadi Rajabu akifafanua jambo wakati wa kikao cha pamoja kati ya Menejimenti ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bajeti, kilichofanyika leo Februari 13,2020 jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_50940" align="aligncenter" width="750"] Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti na Mbunge kiti maalum kutoka Kilimanjaro , Shally Reymond, akifafanua jambo wakati wa kikao cha pamoja kati ya Menejimenti ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bajeti, kilichofanyika leo Februari 13,2020 jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_50941" align="aligncenter" width="750"] Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Menejimenti ya Ofisi ya Msajili wa Hazina pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, walipotembelea kuona utendaji kazi wa Ofisi hiyo Mirambo jijini Dar es Salaam, leo Februari 13, 2020.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi