Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bungeni Leo Mei 14, 2019
May 14, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_43023" align="aligncenter" width="900"] Mwenyekiti wa Bunge mhe Nagma Giga akisisitiza jambo kwa wabunge mara baada ya kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni Jijini Dodoma.

[/caption] [caption id="attachment_43024" align="aligncenter" width="900"] Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Kassim Majaliwa akiteta jambo na Waziri wan chi Ofisi ya Waziri mkuu Uwekezaji Mhe Angellah Kairuki Bungeni Jijini Dodoma leo.[/caption] [caption id="attachment_43025" align="aligncenter" width="900"] Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akisisitiza kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuhakikisha kuwa inawainua wasanii hapa nchini ili wanufaike na kazi zao.[/caption] [caption id="attachment_43026" align="aligncenter" width="750"] Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Kassim Majaliwa akiteta jambo na mbunge wa viti maalum mhe Salma Kikwete leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43027" align="aligncenter" width="900"] Sehemu ya wageni waliofika Bungeni leo wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu.[/caption] [caption id="attachment_43028" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe akisisitiza kuhusu maboresho yanayofanyika katika Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).(Picha zote na Frank Mvungi)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi