Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bungeni leo Jioni
Apr 09, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_42020" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa kuhitimisha hoja ya kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi yake kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 leo Bungeni jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42023" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenyeulemavu, Jenista Mhagama akiwasilisha majibu ya hoja za wabunge wakati wa kuhitimisha mjadala wa hoja ya kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42024" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi (kushoto) akiteta jambo na Waziri wa Madini, Doto Biteko wakati wa kikoa cha sita cha Mkutano wa 15 wa Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42025" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi (kushoto) akiteta jambo na Waziri wa Madini, Doto Biteko(katikati) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, Januari Makamba wakati wa kikoa cha sita cha Mkutano wa 15 wa Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42026" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia hotuba ya Waziri Mkuu wakati akihitimisha hoja ya kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi yake kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 leo Bungeni jijini Dodoma.(Picha na: Frank Shija - MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi