Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio ya Bunge katika Picha
Apr 09, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_30074" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akimweleza jambo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, wakati wa Mkutano wa Bunge la Kumi na Moja wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_30071" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harisson Mwakyembe akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (kulia) na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza wakati wa Mkutano wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, elo Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akijibu maswali ya wabunge, wakati wa Mkutano wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.[/caption]  

[caption id="" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. William Ole Nasha akijibu hoja za wabunge, wakati wa Mkutano wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.[/caption]  
[caption id="attachment_30075" align="aligncenter" width="1000"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza Mkutano wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.[/caption]

Habari Mpya

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi