Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bungeni Leo
Jan 29, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_39962" align="aligncenter" width="800"] Spika wa Bunge Job Ndugai  (kulia) akimwapisha Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea , Bungeni jijini Dodoma[/caption]  

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana  na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiwasilisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho  ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa Mwaka 2018, Bungeni jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kiembe Samaki, Ibrahim Raza kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wananchi kutoka jimbo la Kilwa Kusini waliotembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao  Selemani Bungara, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi