Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akijibu miongozo mbalimbali ya wabunge leo Bungeni Jijini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Waziri wa Maji naUmwagiliaji Mhe.Mhandisi Isaac Kamwelwe wakati wa kikao cha ishirini na tisa cha mkutano wa 11 leo Jijini Dodoma.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na watu wenye ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akiteta jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.Dk.Adelardus Kilangi wakati wa kikao cha ishirini na tisa cha mkutano wa 11 leo Jijini Dodoma.
Waziri wa Kilimo Mhe.Dkt.Charles Tizeba akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.Dk.Adelardus Kilangi akiteta jambo na Mbunge wa Vunjo Mhe.James Mbatia wakati wa kikao cha ishirini na tisa cha mkutano wa 11 leo Jijini Dodoma.