Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bungeni Aprili 23, 2019
Apr 23, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_42328" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akisisitiza umuhimu wa waandishi wa Habari kuzingatia maadili katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku ili kulinda tunu za Taifa leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42329" align="aligncenter" width="900"] Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akijibu hoja za wabunge wakati wa kuhitimisha mjadala wa hoja zilizotolewa kwa wabunge wakati wakichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42330" align="aligncenter" width="900"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akimpongeza Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri wake Mhe. Juliana Shonza mara baada ya kupitishwa kwa bajeti ya wizara hiyo leo bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42331" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akifurahia jambo na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe.[/caption] [caption id="attachment_42339" align="aligncenter" width="900"] Watendaji wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi Susan Mlawi wakifuatilia majadiliano ndani ya ukumbi wa ubunge leo kabla ya kupitishwa kwa bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2019/2020.[/caption] [caption id="attachment_42340" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiwa kwenye picha ya pamoja na watendaji wa Wizara mara baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42341" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola akisisitiza kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali kushughulikia makosa ya jinai ikiwemo kufanya uchunguzi dhidi tuhuma husika na kubaini ukweli.[/caption] [caption id="attachment_42342" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akisisitiza kuhusu utaratibu unaotumiwa na Shirika la Fedha Duniani kutoa taarifa ya hali ya uchumi kwa nchi wananchama Leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42344" align="aligncenter" width="750"] Mmoja wa wasanii akimpongeza Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe mara baada ya kupitishwa kwa bajeti ya Wizara hiyo leo Jijini Dodoma.(Picha zote na Frank  Mvungi- MAELEZO, Dodoma)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi