Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio katika picha Bungeni
May 18, 2018
Na Msemaji Mkuu

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza kikao cha thelathini na mbili cha mkutano wa kumi na moja leo  Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza kikao cha thelathini na mbili cha mkutano wa kumi na moja leo  Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Mhandishi Stella Manyanya akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa kikao cha thelathini na mbili cha mkutano wa kumi na moja leo  Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt.Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa kikao cha thelathini na mbili cha mkutano wa kumi na moja leo  Jijini Dodoma. Mbunge wa Nzega Mjini Mhe.Hussein Bashe akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi wakati wa kikao cha thelathini na mbili cha mkutano wa kumi na moja leo  Jijini Dodoma.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi