Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bungeni
Nov 15, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_38243" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akimwapisha , Mbunge wa Simanjiro, James Millya, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 15, 2018.[/caption] [caption id="attachment_38244" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza, Mbunge wa Ukerewe, Joseph Mkundi baada ya Mbunge huyo kuapishwa, bungeni jijini Dodoma, Novemba 15, 2018.[/caption] [caption id="attachment_38245" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge, Job Ndugai (Kulia) akimwapisha Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 15, 2018.[/caption] [caption id="attachment_38247" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akimwapisha mbunge wa Serengeti, Marwa Ryoba Chacha, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 15, 2018.[/caption]   [caption id="attachment_38252" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 15, 2018.[/caption] [caption id="attachment_38253" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Iramba Magaharibi, Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Novemba 15, 2018.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi